Great Ubongo Kids in Swahili and English! Sing, check, eliminate!
Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: Angalia Ubongo Kids kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1. /ubongokids /ubongokids /ubongotz
السنة
2018
المدة
28m
IMDb
0
Poster Feed
قد يعجبك أيضًا
SSS 1 Mathematics
Pry3 Math
Pry2 Math
Pry5 Math
Quadratic functions
JSS 1 Junior Mathematics
3rd Grade Math
Grade 11 Functions
Learn Grade 1 - Mathematics
Counting Songs for Kids
Songs About Numbers and Shapes from Super Simple Songs and Little Baby Bum
Grade 3 – Let's Learn
$Jss 1-Mathematics
Math for Kids
Mr J Math - 5th Grade
Primary 1 Maths - Number Patterns
Mathematics | Primary 1
PrePrimary Math
Cambridge primary maths lectures
Math Lessons for 4th Grade
Compilations ⭐
Numberblocks - The Numbers 1 2 3 | Learn to Count
Numberblocks - RED LEVEL 1 | #LearningFromHome
Motivational Mondays - FOR STUDENTS!
اختيارات مميزة
هل تريد المزيد من الترفيه؟ استكشف منصة الألعاب المقترحة ووجهة الدراما القصيرة التي نوصي بها.


