Goodluck Gozbert - Ipo Siku | Official Music Video
Goodluck Gozbert presents the music video for Ipo Siku Subscribe to the channel: https://www.youtube.com/channel/UC06LJwFOreisG0hf-V3SxZA Follow on Instagram: https://www.instagram.com/goodluckgozbert/?hl=en Watch Goodluck Gozbert's New EP "USHINDI": https://www.youtube.com/watch?v=rag27LQpBkY&list=PLMsJvhadvBjoasbYufbh2Borjbs03kBkK&index=2 IPO SIKU Lyrics Ni mbali nimetoka Tena ni ajabu kuwa hai Maana ningeshakufaga Ni mengi nimeona Tena ya kuvunja moyo Labda ningeshamwacha Mungu Na Kama ni misongo ya mawazo Magonjwa mama nimepitia ninazoea Maumivu ya kudharauliwa, umasikini kila siku, ninajipa moyo Ipo siku yangu tu, Ipo Siku, siku Ipo siku yangu tu Nami niba niba nibarikiwe, Ipo siku yangu tu, Ipo Siku, siku Ipo siku yangu tu Nami niba niba nibarikiwe Nami nibarikiwe (nibarikiwe) Ah nibarikiwe (nibarikiwe) Oh nami nibarikiwe (nibarikiwe) niba, niba, nibarikiwe Nami nibarikiwe (nibarikiwe) Ah nibarikiwe (nibarikiwe) Oh nami nibarikiwe (nibarikiwe) niba, niba, nibarikiwe Ingawa kwa sasa wananisema vibaya, Nami sishangai – najua ni ya wanadamu hayo. Ingawa sipati na ni kwa muda mrefu Siachi kuomba; Mungu si kiziwi. Binadamu wema, ukiwa nacho Kwa sasa waniepuka sina rafiki wa dhati. Ooh Kama ni misongo ya mawazo Magonjwa mama, nimepitia, ninazoea Maumivu ya kudharauliwa, umasikini Ni kila siku, ninajipa moyo Ipo siku yangu tu, Ipo Siku, siku Ipo siku yangu tu Nami niba niba nibarikiwe, Ipo siku yangu tu, Ipo Siku, siku Ipo siku yangu tu Nami niba niba nibarikiwe, Nami nibarikiwe (nibarikiwe) Ah nibarikiwe (nibarikiwe) Oh nami nibarikiwe (nibarikiwe) niba, niba, nibarikiwe Nami nibarikiwe (nibarikiwe) Ah nibarikiwe (nibarikiwe) Oh nami nibarikiwe (nibarikiwe) niba, niba, nibarikiwe Miaka imepita, unaombaga mtoto hupati Vuta subira maana Yeye hachelewi Ona biashara imeandamwa mikosi hupati Usimwache Mungu, waganga watakuponza Mpo kwa ndoa ila nyumbani amani hakuna Msimwache Mungu – michepuko sio jibu Umeugua tumaini la kupona hakuna Usimtazame mwanadamu siku yako imekaribia. Najua Ayaya Najua ayaya
سال
2016
دورانیہ
5m
IMDb
7.8
Poster Feed
کاسٹ
Goodluck Gozbert
Singer
کاسٹ
Goodluck Gozbert
Singer
