Ubongo Kids Webisode 42 - Tumsaidie Luwi! | Animal Kingdom
Burudika na ujifunze kuhusu kundi la wanyama kupitia katuni ya Ubongo Kids! Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:
Année
2017
Durée
26m
IMDb
0
Poster Feed
Vous aimerez aussi
Primary 3 English
SS 1 English
Level 1 English | Little Fox
Primary 5 English
Year4 English
JS 3 English
KS2 English
Read with Akili
SSS12 English
English lessons for JAMB, WAEC, NECO and NABTEB candidates + SS1, SS2 and SS3 students
Level 9 English | Little Fox
Year9 English
Year8 English
Year 7 English
Pry6 English
SSS11 English
Learn British English with TV Series
Grade 3 English
Learn English with Celebrities
Grade 2 English
Class 4 English Grammar
Year 8 English
English Fluency Coaching Lessons
English for Effective Business Speaking
Suggestions mises en avant
Envie de plus de divertissement ? Découvrez notre plateforme de jeux recommandée et notre destination de mini-dramas.


