Pesa haiji bure | Mga Matalinong Nakatutok sa Pag-unawa #elimuyakifedhakwawatoto #kumanta
Jiunge na Amani, Kiduchu & Kibena wanapotufundisha kuthamini kazi ngumu ambayo watoa huduma wetu hufanya ili kututunza! Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 14, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya Akili and Me inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Subscribe kupata video za kujifurahisha za bure kila wiki kutoka Ubongo Kids! Edutainment iliyotengenezwa barani Afrika, kwa Afrika. Ubongo Kids iko kwenye TV! Tazama hapa: /ubongokids /ubongotz Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning! Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid, Grand Challenges Canada: Saving Brains #UbongoKids #SwahiliCartoons #Elimu
Taon
2024
Tagal
0m
IMDb
0
Poster Feed
Maaari Mo Ring Magustuhan
Primary 6 English
SS 3 English
SS 1 English
PrePrimary English
Level 1 English | Little Fox
PrePrimary English
Year4 English
KS1 English
JS 3 English
KS2 English
JS 2 English
Level 9 English | Little Fox
Year 1 English
Year9 English
Grade 10 English
Year 10 English
ACTION 2
Year8 English
Year 7 English
Pry5 English
Level 4 English | Little Fox
Learn British English with TV Series
Year 5 English
Learn English with Celebrities
Featured Picks
Naghahanap pa ng mas maraming entertainment? Tuklasin ang aming recommended gaming hub at short-drama destination.


