Title DossierPopulaire

EMMANUEL - Vestine & Dorcas (Official Video)

Populaire

🇧🇮🇷🇼🇰🇪🇹🇿 🇺🇬🇨🇩🇨🇬 Presenting "EMMANUEL" the official video by Vestine & Dorcas. Follow This Channel for Daily Updates: https://whatsapp.com/channel/0029Vb682pvCsU9MKmlpmB1K CREDiTS: Director & Editor: Chriss Eazy Assistant Director: Sinta Films Music: Popiyeeh Guitars: Arsene / Gasige Arnaud Song Writers: Niyo Bosco / M.Irene DOP: Figma Lighting Operator: Ushindi Blay Colorist: Coin Set Manager: Hussein Traole Kit Manager: Flat Pictures Makeup: Queen Costumes: TK Shop BTS: Angelot Executive Producer: M.Irene Lyrics : Kwa upande wako nitasimama himara Hata marafiki wanitenge ,kila mahali nizatungukwa na neema nitazidiwa na nyimbo za sifa Nimeona waliopondwa wamerejeshwa tena waliocoka hupata nguvu mpya Roho tasa ziriokorewa kwa pumzi wako takatifu Kwa kila ajabu uliodenda, niliona sababu za kukuabudu. kwenye kila chozi oliyofuta kuna ishara ya uku wako Ukiishi nami Yesu Nimuogope nani Yesu Askari wangu Hodari x2 Bila masharti ulinichaguwa ulinipenda jinsi nilivyokuwa Emmanuel siwizije kuhisi kubarikiwa na wema wako kubwa uliomimina x2 Kwa Juu yangu ooooooh Niligonga mlango Ooooooh ukanifunguliya Ooooh I will Glorify you . I ‘go lift you high kwa uhuru nimepata Verse 2: umekaa nami katika zhoruba kupitia mwoto tumekuwa pamoja myoyo yetu ilijaliwa na Woga. huruma yako ikanikomboa upendo wako ni ngao yangu Golliati hatanizowea Ushindi wako ni fahari yangu Fimbo yako inaniongoza Mwana kondo mwenye miujiza Ushindi wako ni fahari yangu Kwa kila ajabu uliodenda, niliona sababu za kukuabudu. kwenye kila chozi oliyofuta kuna ishara ya uku wako Ukiishi nami Yesu Nimuogope nani Yesu Askari wangu Hodari x2 Bila masharti ulinichaguwa Ulinipenda jinsi nilivyokuwa Emmanuel Siwizije kuhisi kubarikiwa na wema wako kubwa uliomimina Kwa juu yangu ooooooh Niligonga mlango ooooooh ukanifunguliya Ooooh I will Glorify you I ‘go lift you high kwa uhuru nimepata Kwa pleasure na Sorrow through every hollow I will always walk in steps you called me to follo

Année

2025

Durée

8m

IMDb

7.4

Regarder maintenant

Poster Feed

Casting

Vestine and Dorcas

Singer