Title DossierPopulaire

Israel Mbonyi - Heri Taifa

Populaire

Keep up with Israel Mbonyi at https://israelmbonyi.com https://instagram.com/israelmbonyi https://facebook.com/israelmbonyii https://twitter.com/israembonyi https://www.tiktok.com/@israelmbonyi Contacts : Informations : Info@Israelmbonyi.com Bookings : Booking@israelmbonyi.com Heri Taifa Verse : Nikasikia sauti nyikani Tengenezeni njiya yake, nyosheni mapito yake Sogeleeni kiti cha neema Mpate utakaso Oh what a blessing Oh what a grace Heri aoshae (afuae), Kanzu yake ndani ya damu Akiliamini neno alilo ambiwa nae Atakua kama Mti kando ya maji Majani yake huyo, Yatakua ma bichi daima. Chorus : Heri walio na hilo agano Wanaye Mungu Kama mwokozi wao Watasitawi nyumbani mwake Hao wataitwa wana wa upendo. Tutasitawi nyumbani mwake Sisi, tutaitwa wana waupendo Verse : moyo wangu, Sifu mungu sifu mungu sifu mungu - Nuru ilikuangaziya We Uliye mpole, Utairithi inchi, Utafarijiwa - Nuru ilikuangaziya mwenye moyo safi Utabarikiwa, Utamuona mungu Bridge : Heri taifa ambalo Bwana ni mungu wao, Ni wana wa upendo Aliyo wachagulia, kuwa urithi wake. ©12stonesRecord

Année

2024

Durée

14m

IMDb

7.9

Regarder maintenant

Poster Feed

Casting

Israel Mbonyi

Singer

Vous aimerez aussi