Title DossierReligious

Martha Mwaipaja - Mambo Yamebadilika (Official Music Video)

Religious

Ni wakati wa kumwambia Mungu asante kwa wema na fadhili zake kwenye maisha yetu kwa sababu ni yeye alibadilisha majira ya kilio kuwa kicheko pamoja na ugumu tuliopitia bado yeye amekuwa mwaminifu sana.Hata kama wewe unapitia magumu inuka na endelea kumsifu Bwana maana makusudi yake kwetu ni makubwa sana. #MarthaMwaipaja#MamboYaMebadilika#YouTube

वर्ष

2021

अवधि

6m

IMDb

7.9

अभी देखें

Poster Feed

कलाकार

Martha Mwaipaja

Singer

आपको ये भी पसंद आ सकते हैं