Title Dossierपॉप

Neema Gospel Choir - Permanent (Live Music Video)

पॉप

Tunamshukuru Mungu kwa mambo ya ajabu aliyotenda maishani Mwetu. Baraka na matendo yake yametuletea furaha na nguvu nyakati zote, hata nyakati za shida. Kama asemavyo Mwandishi wa Zaburi, "BWANA alitutendea mambo makuu, Tulikuwa tukifurahi." (Zaburi 126:3). 🗯️🗯️🗯️🗯️ Kupitia wimbo huu wa PERMANENT tunaweza kuona ndani yake kuna: 📌Shukurani ya KiMungu (Divine Gratitude): Shukurani kwa matendo makuu ambayo Mungu ameyafanya katika maisha yetu. 📌Imani na Ujasiri (Faith and Confidence): Ujasiri na uhakika katika uwepo na msaada wa Mungu katika maisha yetu. 📌Ulinzi na Uwakili (Protection and Advocacy): Mungu anaelezwa kama mlinzi na mwakilishi ambaye huhakikisha usalama wetu na kupigania haki zetu. 📌Kudumu kwa Baraka (Permanent Blessings): Dhana ya agano la kudumu la baraka za Mungu inasisitizwa, ikionesha uhusiano usiovunjika na endelevu kati yetu na Mungu. 📌Kutokuwepo kwa Hofu (Absence of Fear): Hakikisho kutoka kwa Mungu husababisha kutokuwepo kwa hofu na taharuki katika maisha yetu. Songwriter & Composer: Samuel Limbu & Fredrick Japhet Masanja Leader: ⁠David Kusekwa, Mariam Protace & Esther Isaac Kilago —— VICTORIOUS JOURNEY PRODUCT held on 01st December 2023 at Uhuru Stadium - Dar es Salaam. 𝗖𝗥𝗘𝗗𝗜𝗧: 𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐃𝐢𝐫𝐞𝐜𝐭𝐨𝐫: Amigo Johnson 𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐄𝐝𝐢𝐭𝐨𝐫: Titus Alfred 𝐀𝐮𝐝𝐢𝐨: Victorious Production 𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 & 𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞: ABE Professional Sound 𝐒𝐜𝐫𝐞𝐞𝐧: ABE & Ryzen 𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Jeddy 𝐌𝐨𝐧𝐢𝐭𝐨𝐫 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Junior Albert (Gaddy) 𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐬 𝐏𝐫𝐨𝐯𝐢𝐝𝐞𝐫: Allan Lights 𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐢𝐧𝐠 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maxlifah. (Max the Alternative) 🇰🇪 𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞 𝐃𝐞𝐬𝐢𝐠𝐧: Parmena Winfred 𝐏𝐫𝐨𝐝𝐮𝐜𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐌𝐚𝐧𝐚𝐠𝐞𝐫: Production Fundam

वर्ष

2024

अवधि

7m

IMDb

7.5

अभी देखें

Poster Feed

कलाकार

Neema Gospel Choir

Singer

आपको ये भी पसंद आ सकते हैं

पॉप7.3

Ciara, Diamond Platnumz - Low (Official Music Video)

पॉप7.6

Skillibeng - Ivany (Official Audio)

पॉप7.2

Vybz Kartel - Colouring This Life

पॉप7.6

Skillibeng - Deja Vu (Official Music Video)

पॉप7.9

Busy Signal, Prettii Prettii - Mek Eh Bounce (Official Music Video) ft. Konshens

पॉप7.6

ALEX KASAU KATOMBI-KAWANO(OFFICIAL VIDEO)sms “SKIZA 5804909 to 811

पॉप7.0

BAHATI - DEAR EX (Official Video) FOR SKIZA DIAL *812*810#

पॉप7.2

Iyanii - Cheat On Me (Official Video)

पॉप7.9

Daycare

पॉप7.9

Ayra Starr - Hot Body

पॉप7.9

[ Newest] Gigi De Lana 💃Top Hits Songs Cover Nonstop Playlist 2023 ️🎸 Gigi De Lana OPM Ibig Kanta️🎼

पॉप7.7

Goon Flavour, Master KG & Naledi Aphiwe - Mina Nawe (Official Music Video)

पॉप7.0

Nonstop Opm song #Alak Empilight Song

पॉप7.0

NONSTOP NEW PLAYLIST 2024💖SWEETNOTES MUSIC💖LOVE SONG MEDLEY💖SWEETNOTES LIVE

पॉप7.3

Nkosazana Daughter - Ivangeli (New Song 2025) Feat. Master KG & Dalom Kids

पॉप7.8

Dean Lewis - With You (Official Video)

पॉप7.0

No Strings Attached (2011) - Awkward Romance Scene (9/10) | Movieclips

पॉप7.7

Big Zulu , Azana (Ft. Malungelo) - Amacala Othando [ Visualizer ]

पॉप7.4

TAGALOG LOVE SONG NONSTOP Of Rey Valera, Freddie Aguilar Greatest Hits OPM Songs Collection #lumang

पॉप7.7

HARD MASSAGE 3 I MALE THERAPIST I REUPLOADED 2021

पॉप7.8

03: Sannere - Maapara Kobo Ft Wave Rhyder

पॉप7.4

Love Song 2021_ALL TIME GREAT LOVE SONGS Romantic WESTlife Shayne WArd Backstreet BOYs MLTr

पॉप7.9

Manzi Nte (Visualizer)

पॉप7.7

Eurythmics - Sweet Dreams (ERS REMIX) Money Heist