Title DossierBahasa inggris

Ubongo Kids - Aplikasi Permainan Matematika!

Bahasa inggris

Hesabu za Panya: Math Rats: Pata App ya Ubongo Kids na umuwezeshe mtoto kujifunza na kucheza game kupitia simu ya mkononi. Ni rahisi sanaaa!! Angalia video hii ili upate maelezo kamili ya jinsi ya kudownload. Kisha like na tuambie umefurahia nini katika comment! Usiache kusubscribe ili uweze kupata kila tunachokipost moja kwa moja!! /ubongokids /ubongokids /ubongotz An edutainment cartoon made in Africa, for Africa.

Tahun

2016

Durasi

1m

IMDb

0

Tonton Sekarang

Poster Feed