Title DossierAfrican

ALIKIBA X Abdukiba X Cheed X K2ga X Killy - Mwambie Sina (Official Video)

African

Baada ya kufanya muziki kwa miaka zaidi ya 15 na kufanikiwa kupata mafanikio makubwa sasa ni wakati rasmi wa kurudisha kwa jamii kwa kusaidia kukuza sanaa kwa kutambulisha na kuvipa support vipaji vipya kwa industry. Nawatambulisha kwenu vijana wangu Cheed, Killy, K2ga na Abdukiba kutoka record label yangu - King’s Music. After a successful journey in my music industry, it is time to give back and nurture upcoming talent. I am thrilled to introduce to the young and talented musicians Cheed, Killy, K2ga na Abdukiba from my record label King’s Music. Instagram: @KingsMusicRecords Facebook: @KingdMusicRecords Twitter: @KingsMusicTz

Tahun

2018

Durasi

3m

IMDb

7.0

Tonton Sekarang

Poster Feed

Pemeran

A

Alikiba

Singer

Mungkin Anda Juga Suka