Big vs. Small | Learn Math and Thinking Skills for Kids | Educational Topics in Swahili
Je, unajua kufafanua namba ambazo ni kubwa kuliko au ndogo kuliko namba zingine? Hii video kutoka katuni ya Ubongo Kids itakusaidia kujifunza! Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! This video was made possible by a grant from the Goodall Foundation. Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:
سال
2017
دورانیہ
1m
IMDb
0
Poster Feed
آپ کو یہ بھی پسند آ سکتا ہے
FORM 2 MATHS - TAFA ACADEMY
All CBC Grade 4 Math Lessons | EasyElimu
SSS10 Math
Pry 1 Primary Mathematics
Year 10 Math
SSS 3 Mathematics
Year6 Maths
Pry2 Math
SS3 Mathematics
Pry5 Math
Pry6 Math
SS2 Mathematics
CALCULUS
Year 3 Math
Kelas 1 Matematika
Mathematics (Junior Secondary School 1)
Grade 3 Math
Grade 4 Math
Numberblocks - Learn to Count | Maths for Kids
Grade 12 Calculus
Mathematical Literacy Grade 10
Matematika Hebat
Numberblocks - Homeschool
Grade 11 Functions
Featured Picks
مزید entertainment چاہتے ہیں؟ ہمارے recommended gaming hub اور short-drama destination کو explore کریں۔


