Title Dossierریاضی

Where is Nini? - Ubongo Kids Sing-Along

ریاضی

Imba na Mama Ndege! Huu wimbo unafundisha kuhusu sifuri, namba hasi na namba chanya. Angalia Ubongo Kids kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: Ubongo Kids ni mfululizo mpya wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1. /ubongokids /ubongokids /ubongotz Copyright Ubongo Ltd. 2014

سال

2014

دورانیہ

2m

IMDb

0

ابھی دیکھیں

Poster Feed